Kufungwa Maisha
1964
Sheria ya hali ya hatari ilitangazwa baada ya polisi kuwaua
waandamanaji 69 mjini Sharpville mwaka 1960. Serikali ilihofia kuwa
wangelipiza kisasi na hivyo kuharamisha chama cha ANC. Chama hicho
baadaye kiliendesha harakati zake za kijeshi kichinichini wakiongozwa na
Mandela.Mwaka 1962, Mandela alikamatwa kwa kosa la kuondoka nchini bila
kibali. Wanachama wengine wa ANC walikamatwa. Akiwa jela Mandela
alishtakiwa kwa kosa la hujuma. Yeye na wengine saba walihukumiwa jela
katika kisiwa cha Robben mwaka 1964
3 kati ya 10
0 comments:
Post a Comment