Pages

PINDA>MSHAHARA WANGU NI KAMA MFANYA KAZI WA KAWAIDA TU.MSITAFUTE UMAARUFU KUONEKANA MNAONGEA.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amedai bungeni leo kwamba mshahara wake hauzidi Shilingi za kitanzania Milioni SITA na akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni wazushi wakubwa.Na unaweza ukahisi kuwa unajenga kumbe unalibomoa taifa huwezi ukawa kiongozi mkubwa ukawa na majungu ya kuangalia mishahara ya wenzako.hili ni sakata la zitto kusema kuwa mizengo pinda ambae ni waziri mkuu kuwa analipwa kiwango kikubwa cha mshahara.

0 comments:

Post a Comment