TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY(TIA) chuo cha uhasibu tanzania kampasi ya dar es salaam,inatazamia kuvunja kamati yake ya uongozi mapema kesho,awali,serikali hiyo ya wanafunzi ilipanga kufanya shughuri hiyo leo j,3,lakini kutoka na mipango kutokuwa sawa,shughuri hiyo imeahirishwa na kupendekeza kufanyika kesho j.4...kwa kufanya hivyo ni kwamba uongozi wa zamani utakuwa unafungua ukurasa mpya kwa wagombea nyazifa mbali,mbali,kuanza kampeni zao kwa uhuru na sheria ya chuo.
Awali nyazifa ya urais wa TIA ilikuwa inashikiriwa na bwana GIFT JENGELA wa tatu kutoka kulia,na wasita kutoka kushoto wakati makamu wake ni mwana dada wa pili kutoka kushoto,na wa saba kutoka kulia..
RAIS>hata hivyo uongozi huo umemaliza muda wake wa muhura mmoja kama sheria na katiba ya chuo hicho isemavyo kwa mafanikio makubwa, uwongozi umeweza kuwaongoza wanachuo hicho kwa ufanisi na hata kukidhi matakwa ya walio wengi.na kutekeleza sehemu kubwa ya ahadi zake kwa kipindi chote.Nakumalizia kwa kusema anatoa shukrani nyingi kwa kampasi zote za tia kwa kuwa zimeonyesha ushirikiano mkubwa kutoka kwenye uwongozi na kuthamini kazi zao.....
posted by tingakitaa.blogspot.com
www.facebook.com/tingakitaa
www.twitter.com/tingakitaa
google for tingakitaa
0 comments:
Post a Comment