Pages

sports news> ARSENAL WENGER>;VITA YA RAMSEY NA WILSHERE UWANJANI NDIO ITATUPA VIKOMBE.



Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema anafurahishwa na vita ya Aaron Ramsey na Jack Wilshere ya kuonyesha viwango vyao msimu huu. na hii ndio inampa matumaini ya timu yake kufanya vizuri kwa mechi,wenger amesisitiza zaidi kusema kama mchuano wa wili hao utakuwa hivyo basi anaamini nafasi ya kuchukuwa vikombe kwa msimu huu utakuwa mwepesi kwake,
na kuwaomba mashabiki kuwa na imani na timu yao kwani lazima waipende timu na kuipa ushirikiano ili ifanye vyema.

 posted by mairaji ramadhani/tingakitaa.

0 comments:

Post a Comment