Pages

INASEMEKANA HAKUNA MAALAKA YA KUKEMEA VITENDO VYA AIBU KAMA HIVI VINAVYOFANYIKA WAKATI WA SHEREHE YA KANGA MOKO KAMA WAKINA MAMA WANAVYOIITA,

huyu ni mama mwenye heshima zake tu na ukiangalia kwa umbali kule inaonekana ni kama shoo ambayo inashuhudiwa na umati wa watu na inasemekana ina udhamini wa kampuni kubwa tu ya hapa nchini kama naweza ukaona kwa mbaali kule kuna bango la kampun flani,nini tunajifunza?

0 comments:

Post a Comment