Pages

HUYU PIA NI MAMA ANAESTAHILI HESHIMA YA UMAMA LAKINI YAKUWAPI MAADIRI YA MTANZANIA?

Ni mama mwenye takribani miaka 40 sasa lakini jiulize amekosa kwa kipindi cha miaka yote hiyo?ni kanga moko kama wenyewe wanavyoiita ukweli serikal iko nyuma sana kwa utovu wa nidhamu unaoonyeshwa na wakina mama wa uswahilini ni aibu kubwa,
wakina mama nyie ndio nguzo ya maisha yetu ya duniani,hata maandiko yanasema waheshimu baba na mama.nyie mko wapi leo?

0 comments:

Post a Comment