Pages

HAPPY BIRTHDAY WEMA SEPETU,MUNGU AKUPE UNYENYEKEVU NA BUSARA YA KUUTUMIKIA USTAA WAKO.



wema1
Wema anasherekea siku yake ya kuzaliwa na birthday wishes nyingi kutoka kwa fans wake. Lakini hawa ni baadhi ya watu wake wa karibu ambao wamechukua muda wao kuandika maneno mengi zaidi ya kumpa Wema birthday wishes. Soma alichoandika Kajala,Zamaradi Mketema na video ya Aunty Ezekiel akimuibia Wema wakiwa wote Hongkong.

0 comments:

Post a Comment