Pages

MZEE WA MSONDO,MZEE NGURUMO BURIANI BABA MUNGU AKUWEKE MAHARI PEMA DAIMA.



 Ni mzee wa siku nyingi sana kwenye muziki Tanzania ambae aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari mara nyingi hasa kutokana na kuugua kwake kuliko mfanya aache hata muziki aliokua anaufanya.
Taarifa zilizothibitishwa na hospitali ya Taifa Muhimbili
zimesema Mzee huyu amefariki              .....chini ni habarizaidi na picha wakati wa ugonjwa wale.....


dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13 2014 saa nane mchana baada ya kuletwa jana asubuhi na kulazwa kwenye wodi namba 6 ya Mwaisela kutokana na kuzidiwa. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ambapo taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo na taratibu za mazishi zitaendelea kukufikia kila wakati.