•
Chelsea wameruhusu wavu wao kuguswa katika mechi moja tu kati ya tano
walizocheza Stamford Bridge dhidi ya timu kutoka Ufaransa lakini PSG
wamefunga mabao 14 katika mechi nne za ugenini msimu huu katika
mashindano haya na wameshinda mechi zao 6 za mwisho kati ya 11 za UEFA
Champions League, wamepoteza mechi 2 tu.
•
The Blues wameshinda mechi 7 kati ya 12 za mashindano ya UEFA ambapo
mchezo wa kwanza wanakuwa wamefungwa. Waliwatoa SSC Napoli kwa 4-1 baada
ya muda wa ziada katika 2011/12 UEFA Champions League raundi ya 16 –
walifungwa 3-1 ugenini - walishinda mechi hiyo na kwenda mpaka kutwaa
ubingwa.
Borussia Dortmund (0) v Real Madrid CF (3)
• Ushindi wa Madrid wa 3-0 katika uwanja wa Santiago Bernabéu unamaanisha kwamba wanaweza kuruhusu kufungwa tena 4-1 kama msimu uliopita katika nusu fainali na bado watapita.
• Ushindi wa Madrid wa 3-0 katika uwanja wa Santiago Bernabéu unamaanisha kwamba wanaweza kuruhusu kufungwa tena 4-1 kama msimu uliopita katika nusu fainali na bado watapita.
•
Madrid wamefunga katika mechi zote za ugenini (22) katika UEFA Champions
League tangu walipofungwa 1-0 na Olympique Lyonnais katika hatua ya 16
bora ya msimu wa 2009/10, walitolewa 2-1 on aggregate. Madrid wamefungwa
mara nne - mara 3 kati hizo nchini Ujerumani - katika mechi zao 22 za
mwisho walizocheza ugenini kwenye mashindano haya.


0 comments:
Post a Comment