Msururu
Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu
Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali
iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari
yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.
PICHA NA JF