Pages

NGOZI NYEUSI NDIO YAONEKANA KUWA KUVUTIO CHA WEREMBO MAJUU,MZUNGU AJIWEKA YA BANDIA.

Kwa uchunguzi wake ulimfanya aamini kuwa ngozi nyeusi ndio bora kabisa kwa totoz nyingi majuu hapo ndipo alipo jitoa thamani na kuomba labda mungu angemuumba mweusi tu,lakini pia aliona sio kitu sana kwake fedha iliongea na akaamua kujiweka ngozi ya bandia na akawa anapeta kitaa lakini walio mjuwa walimjuwa na kumuumbua. kama unavyoona hapo.