juu ni picha ikimuonyesha obama juu ya paji la uso akiwa na nzi mkubwa ambae makazi yake mara nyingi huwa ni maeneo yenye harufu sana kama choo,ama jalalani,swali la kujiuliza zaidi ndani ya ikulu ya marekani,yaani white house nzi huyo amefikaje,fikaje?
obama akionyeshwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara pamoja akiwa amekingwa juwa lakini anaoneka ni kama haitaki huduma hiyo ya kuwekewa mwa mvuri kwa maana ya kukingwa juwa,haya ni moja ya matukio yalio mkumba mshua wa mataifa makubwa huko majuu.
0 comments:
Post a Comment