Wimbi la vijana wa kitanzania kuona fasheni kupija picha za uchi linazidi kukuwa siku hadi siku,bila kufikiri kuwa linaweza kuipa sifa mbaya taifa lao,na unaweza ukadhani kuwa tabia hii ipo tu huku mijini lakini amini kuwa uchafu huu umeanza kuenea kwa kasi kubwa mikoani,na moja ya mikoa ambayo inakuwa kwa kasi kwa tabia hii ni pamoja na mkoa anako tokea waziri mkuu mh,mizengo pinda,mkoa wa katavi,wilaya ya mpanda.
0 comments:
Post a Comment