Pages

MPANDA,...NEWZZZZZZ....GARI LIMETEKETEA KWA MOTO LOTE BAADA YA KULIPUKA GHAFLA.



Gari moja mkoani katavi,wilaya ya mpanda limeteketea kwa moto,dereva wa gali hilo ambae hakufahamika haraka jina lake baada ya kukimbia kwa kuchanganyikiwa,hata hivyo mashuhuda wa tukio hilo waliongea na tingakitaa wakasema gari hilo hice town lilifika maeneo ya karibu kabisa na bak ya crdb iliyoko wilayani humo,mara walishangaa kuona moshi mkubwa bila kuona moto mara baada ya kumuona dereva anaruka katika gari hilo ndipo walipo ona gari imeripuka ghafla na kuteketea kabisa gari yote.
             

     habari na matukio na aneth simwanza mpanda,
                                       posted by tingakitaa.blog.

0 comments:

Post a Comment