Pages

mikoani>>MVUA ZASABABISHA MADHARA WILAYA YA KATAVI MPANDA.


mvua inayo endelea kunyesha mkoani mpanda imekuwa ikiharibu miondo mbinu kwa kiasi kikubwa sana jambo ambalo linafanya magari kupata taabu sana wakati wakupishana hata kuzua safari zao,lakini pia kusababisha ajari kutokea siku hadi siku.



picha na matukio kwa niaba ya mwana habari wetu bw,henry.

0 comments:

Post a Comment