Wakati moto moto wa kampeni chuo cha uhasibu zikiwa zimepamba moto huku wanafunzi wakishuhudia na kupata raha kutoka kwa wapambe wawagombea kwa kutumbuizwa na ngoma kama za kiasili,na shamra shamra za kira kona huku wakishuhudia wagombea wote wakipita darasa hadi darasa kwa kunadi sera zao huku baadhi yao wakiulizwa maswali ambayo mengi ya maswali hayo yakiwa ya kejeri na maudhi.siku ya kesho dec 12 ikiwa ni uchaguzi.


0 comments:
Post a Comment