Pages

SHUHUDIA LIVE MAGORI 6-0 YA MANCHESTER CITY WALIVYO WAANGAMIZA TOTTENHAM HOSPURS.






ilikuwa ni kiama cha magori kwa siku ya jana,man city ilijivunia magori 6  dhidi ya tottenham bila majibu nakumuweka mahara pabaya kocha mkuu watimu hiyo haswa kwa kuzingatia haia mwendo mzuri sana kwa msimu huu,wakati huo manchester united bado inaendeleza wimbi la kusua,sua imerazimishwa sale ya gori 2-2 na cardiff city.















0 comments:

Post a Comment