Bado tanzania kwa upande wa ajira ni kizungurumkuti,vijana wengi wamejihusisha kwenye matukia ya ajabu ili kujipatia angalau kipato kwa siku,kumekuwa na wimbi kubwa la vibaka na hata vijana kujihusisha kwenye matumizi ya madwa ya kulevya kwa kiasi kikubwa sana na hii ni kutoka na serikali ya tanzania kutokuwa na fulsa za kuwatengenezea vijana ili wajikizi kimaisha,
0 comments:
Post a Comment