Mwigizaji Zuhura Maftah Maarufu Kama Melissa Afariki Dunia jana 8/9/2013 .Kwa taarifa tulizozipata ni kwamba Zuhura aliumwa week chache zilizopita. Ni mwigizaji aliyefanya kazi na bongo movie kwa ukaribu kabla ya kutoka na kuanza kufanya kazi zake binafsi
0 comments:
Post a Comment