Pages

MAPENZI TU!!,YAMEMTIA KILEMA CHA MAISHA MREMBO HUYU AMWAGIWA TINDI KALI NA BOY WAKE.






Blessing baada ya kuharibiwa sura
Binti mmoja Blessing Ikhumuhi hatasau maishani
mwake siku aliyoogeshwa tindikali usoni na mpenzi

wake baada ya kumwambia uhusiano wao uishe.Cyr

ill Okusan kijana wa miaka 22 ametajwa kama

muhusika wa unyama huu,Tayari ameshafunguliwa

mashtaka kwa kosa hili.

Nadhani ni wivu tu wa kimapenzi na roho mbaya ndiyo iliyosababissha yote haya,jamaa akaona wacha nimuharibu reception tuone baada ya mimi kama kuna mtu atakubinyia hata kijicho..mbaya sana! Kina dada kuweni makini na ma-boyfriend wa kukutana nao mitaani bila hata kujua background na tabia ya mtu.

0 comments:

Post a Comment