Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11
KENYA TENA,ASKARI WAWILI WAUWA NA KUJERUHI WATU WATATU,WAKATI WAKENYA WAKIA KWENYE MAPUMZIKO YA SIKU 3 KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE JENGO LA BIASHARA
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11
0 comments:
Post a Comment