Pages

ABUU RAMADHANI:-MPIRA NI KIPAJI CHANGU TU,WINGA YA KUSHOTO INAYOJUWA KUCHEZA NA NYAVU.

ABUU RAMADHANI, kwa jina hilo sidhani kama kuna timu katika wilaya ya kinondon isio mjuwa mchezaji huyu ni mwiba kwa magori ya mguu wa kushoto,awali alikuwa akiichezea timu ya mshikamano iliotwa ubingwa wa ligi daraj la iii katika wilaya ya kinondoni,mshikamano  ni timu inayo mirikiwa na wachezaji wenyewe ingawaje kwa mwaka wa 2013 imepata muongozaji kama mlezi ambae ni mbaruku masood ambae ni mwenye kiti wa ccm katika shina la mshikamano.

itaendelea......................

0 comments:

Post a Comment