Vazi hili kwa wewe usiejuwa maana yake unaweza ukazani ni kanzu ya rangi tu. lakini kwa wasomi wanalitambuwa vazi hili vyema, na inavyo sadikika bila kuvaa hili vazi basi huwenda maisha yako ya chuo yalikuwa ya kuwasindikiza wenzio,inasadikika hivyo lakini !!! mmmm.
0 comments:
Post a Comment