Gari aina ya toyata fan cargo aliozawadiwa muasisi wa muziki wa dance hapa nchini mzee ngurumo,
kama heshima yake diamond kwa muimbaji huyo kwa kuwa lea vyema vijana katika nafasi ya muziki.
diamond ni muimbaji wa muziki wa kizazi kipya aliojipatia umaarufu mkubwa na watanzania kutokana na visa vyake na kujitolea kwenye jukwaa na hata uimbaji wake. hongera diamond.
0 comments:
Post a Comment